Ndugu watanzania tunasikitika kuwajulisha kuwa Dada yetu Zainabu Buzohera AMEFARIKI Jana Jumamosi  January 4, 2014 at 8:00PM at Doctors Community hospital hapa MD. 
Mipango ya kusafirisha mwili kwenda Tanzania inaendelea.
Gharama ni $15, 000.
Tunakuomba tuma mchango wako kwenda :
CITI BANK
Ms. Ngalu Buzohera
AC 50070000
routing 9106834936
 












 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment