Jiko Langu, ni blog ya wale wote wenye kupenda kupika na kula vyakula vyenye radha na afya njema. Basi kaka wewe ni mdau wa mambo ya mapishi na mahanjumati hapa ndio sehemu yako.

Wote mnakaribishwa ili kubadirishana uzowefu wa Mapishi, Mahanjumati na Makulaji. Jisikie Huru Kushirikiana nami katika blog hii, ili tuweze kudumisha mapishi yetu ya Kiafrika na haswa mapishi ya makabila mbalimbali.

Kila mwenye ujuzi japo kidogo wa mapishi ya asili ambayo kwa njia moja ama nyngine yanaonekana kupotea haswa  kizazi hiki cha dot kom. Basi tuungane pamoja kufundishana na kudumisha mapishi ya asili na hata yale ya kigeni.

Shukrani na Karibuni Wote...!

Bonyeza Hapa Kuwasiliana nami
jiko ni langu

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!