Wednesday 2 October 2013


Mahitaji

Karanga mbichi 400gm
Chumvi pinch moja
Yai moja
Sukari vijiko viwili vya chakula
Unga wa ngano 1/3 cup

Jinsi ya kupika
Roweka karanga zako kwenye chumvi,(unaweza kuzikausha kidogo)
Changanya Yai na sukari changanya hadi uwe mweupe weka karanga hadi zote zienee mchanganyiko wa Yai weka ngano hadi uone inanata.
Weka mafuta jikoni yakichemka weka karanga zikiwa brown toa weka katika chujio zitoke mafuta.
Unaweza kutumia kwa juice au soda.

1 comment:

  1. Asante lakini je unaroweka kwenye mafuta mengi kama vile unavyopika mandazi?

    ReplyDelete

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!