Saturday 5 April 2014


Mahitaji

Karoti moja(itategemea na wingi wa unga)

Pilipili hoho 1/2(ziwe Tatu rangi tofauti)

Chumvi kijiko cha chai

Unga wa ngano 250g

Samli/mafuta ya kupikia 

Nazi kopo moja


Jinsi ya kupika

Katakata karoti zako na pilipili hoho rangi tofauti tofauti,tumia kile cha kukatia karoti weka katika bakuli tia unga wako Tia Chumvi,mimi na nazi yako kanda unga wako hadi uwe mlaini.

Kunja chapati zako Kama kawaida choma.

Unaweza tumia mchuzi,marahage,mbaazi nk Kama kitoweo.


0 comments:

Post a Comment

Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!