Mahitaji
Makayabu(Salt Fish)
Vitunguu vikubwa viwili
Pilipili hoho 3 rangi tofauti
Chumvi kijiko cha chai 1
Biringanya kubwa 1
Mafuta
Jinsi ya kupika
katakata samaki na waroweke katika maji ili kuondoa chumvi,kisha watoe wakauke maji
weka karai yako jikoni tia mafuta yakipata moto weka samaki wako wakaange hadi wabadilike rangi ila wasikauke.
Ukimaliza kukaanga
bandika sufuria jiko weka mafuta yakipata moto weka vitunguu vyako vikaange vikakaribia kubadilika rangi kuwa brown weka pilipili hoho ulizozikata kubwa kubwa na biringanya,na zile samaki,chumvi na juice ya limao wacha vichemke mpaka uone biringanya imeiva.

Samaki hawa wa Makayabu unaweza kutumia kwa ugali,mihogo ya kuchemsha au ya nazi.
0 comments:
Post a Comment