Mahitaji
Unga wa ngano nusu kilo
Chumvi pinch moja
Sukari kijiko cha chai vinne
Hamira 7 g
Mayai mawili
Maziwa ya maji vikombe viwili
Maziwa ya unga kikombe kimoja cha kahawa
Samli/mafuta
Baking powder
Jinsi ya kupika
Chukka bakuli weka unga wako,Tia hamira,baking powder,sukari na chumvi kanda unga wako uwe mlaini Kama wa chapati za kusukuma(Yaani ukande Kama vile uvyokanda chapati)Ukiwa tayari kunja km vile chapati za kusukuma ,uache kwa saa moja uumuke.
Ukishaumuka piga lile tai Pembeni,sukuma donge ila hakikisha lisiwe jepesi paka yai juu choma katika oven moto 180 dakika 3,
Lakini uwe unaungalia
Unaweza kutumia kwa maharage/mbaazi za kupaka,Rosti ya kuku/nyama,au kwa chai tu.
Mie niliusukumia kwa Rosti ya nyama
0 comments:
Post a Comment