Mahitaji
Samaki mkubwa mmoja/vipande
Kitunguu swaumu kijiko cha chai 1
Tangawizi kijiko kimoja cha chai
Nyanya kopo moja
Tomato pure kijiko kimoja cha chakula
Mafuta vijiko vitatu vya supu
Nazi kopo moja
Viazi mbatata kilo moja
Kitunguu Maji kikubwa kimoja
Chimvi vijiko vijiko viwili vya chai.
Pilipili hoho
Korianda kiasi
Jinsi ya kupika
Msafishe samaki wako mtie chumvi kijiko kimoja cha chai halafu mkaange. Muweke Pembeni.
Menya viazi vyako vioshe.
Bandika sufuria Yako jikoni weka mafuta kidogo kaanga vitunguu Maji,vikianza kubadilika rangi weka swaumu na tangawizi,halafu weka nyanya,chumvi,acha kwa dk mbili weka viazi vyako viache kwa dakika kumi weka Maji kiasi acha vichemke hadi uone Maji yanaanza kupungua weka nazi yako na tomato pure halafu mtumbukize Yule samaki,na pilipili hoho,acha vichemke hadi tui liive epua.
pakua pambia na korianda kwa juu kama katika picha.
Tayari kwa kuliwa Kama mlo mkuu,unaweza tumia kwa chapati,maandazi,buns,au mkate

Nilitumia kwa buns
0 comments:
Post a Comment