Sunday, 19 June 2016

Thanks to my brodaz in law for the  dinner date I real appreciate. The food  was very yummy yummy ...

Tuesday, 7 June 2016

Kutokana na familia yangu kuepuka sana Kula Mafuta hivyo vyakula vyetu vingi ninaepuka kutumia mafuta mengi wakati wa kupika au kutoweka Kabisa. Hivyo nimeamua kutwist recipe ya  Shruba nimeamua kufanya chukuchuku. Usijali  nitaweka inayotumia mafuta. Mahitaji Oats / ngano  nusu kikombe Nyama (mbavu) nusu kilo Nyanya fresh moja Kitunguu maji kimoja kikubwa Kitunguu swaumu kijiko cha chakula1 Pilipili manga kijiko cha chai 1 Chumvi...

Tuesday, 19 April 2016

Imeandikwa na Dk. Boaz Mkumbo MOJA ya vyakula ambavyo tumekuwa tukitumia kwa wingi hasa Watanzania wenye kipato cha kati na chini kabisa ni vyakula vya aina kuu tatu, Wanga, Protini na Mafuta (Fats). Na kwa kiwango kidogo sana tunatumia vitamin na madini katika milo yetu. Moja ya masomo ya chakula tunayofundishwa ni kula mlo kamili.Watu wengi tumekuwa tukitumia elimu hiyo hadi hapa tulipofika. Napenda kusema tu kwamba mlo kamili ni...

Thursday, 18 February 2016

Mahitaji Unga wa ngano 250g Butter 250g Mayai 9 Baking powder kijiko cha chai1 kuku wa kusaga 2cups Chumvi kijiko cha chai 1 Sukari 1/3cup Kungu manga 1/2 kijiko cha chai(sio lazima) Mdalasini kijiko cha chai 1 Curry powder kijiko cha chai 1 Kitunguu swaumu kijiko cha chai 1 Tangawizi kijiko cha chai 1 Chicken stock kijiko 1/2 cha chai Pilipili mtama 1/2 kijiko cha chai Ndimu/limau moja Pilipili hoho 1/2 kila rangi Jinsi ya kupika Muoshe kuku wako...

Tuesday, 16 February 2016

Mahitaji Mchele mag 2 Yai moja Nazi kikopo kimoja Hamira kijiko kimoja cha chakula mfuto Sukari nusu mag Baking powder pinch mbili Maziwa ya maji yawe sawa na nazi. Iliki kijiko cha chai kimoja. unga wa ngano kijiko kimoja cha chakula. Jinsi  ya kupika. Roweka mchele  hadi ulainike. Weka katika  blender kila kitu kasoro unga wa ngano,  saga hadi  ulainike weka unga wa ngano saga kidogo mimina katika bakuli wacha kwa lisaa...

Saturday, 30 January 2016

Mahitaji:- Viazi mbatata kg 1 Cornflour(starch) vijiko 2 chakula  Siagi vjk 2 chakula Chumvi kijiko1 chai Tomato ketchup vijiko 3 chakula Tomato puree kijiko 1 chakula Tandoor masala powder 1/2 kjk chai Kitunguu saumu kilichosagwa 1/4 kijiko chai Pili pili ya unga (red chili powder) 1/4 kijiko chai Binzari ya unga( cumin powder) 1/4 kijiko chai Manjano (turmeric) 1/8 kijikocchai Pilipili ya kijani ilokatwa katwa ( green chilli) 1 Limao...

Thursday, 14 January 2016

Kuwa na harufu mbaya mdomoni ni kitendo kinachoweza kuathiri maisha ya mtu kimahusiano si kwa mpenzi tu bali marafiki na jamii kwa ujumla. Pia kuwa na harufu mbaya mdomoni uondoa haiba ya kupendwa kwani hata unapoongea wengi watakwepa kuongea moja kwa moja na wewe kwa sababu ya harufu mbaya inayotoka mdomoni mwako. Chakula unachokula kina athiri hewa inayotoka mdomoni au sehemu nyingine za mwili wako. Baadhi ya vyakula vina matokeo mabaya sana...

Saturday, 9 January 2016

Mahitaji Ndizi Tamu 5 Kikopo kimoja cha Nazi Chimvi pinch Mbili Sukari kijiko cha chakula kimono Iliki kijiko cha chai kimoja Custard powder kijiko cha chai kimoja Maziwa wa unga kijiko cha chakula kimoja Maji  mag moja Jinsi ya kupika Katakakata ndizi zako,ndizi moja toa vipande vinne panga katika sufuria,weka  chumvi,sukari,iliki,mimina maji bandika bikini funika maji yakiukia weka nazi yako wacha ichemke usinifike,wacha kwa dk 3,chukua...

Sunday, 6 September 2015

Mahitaji Mchele 2 cups(inategemea na familia yako) Chumvi nusu kijiko cha chai Korianda vijiko vitatu vya vyakula(majani) Soya souse vijiko viwili vya chakula Vitunguu maji vikubwa vitano. Kitoweo Kuku 1/nyama kilo moja Mahitaji Kitunguu swaumu kijiko cha chakula kimoja Tangawizi kijiko cha chakula 1 Paprika kijiko cha chakula 1 Pilipili mtama 1kijiko cha chai Pilipili mbuzi iliyosagwa 1/2 cha chai(option) Limao/ndimu 2   Jinsi ya kupika. Osha...

Wednesday, 22 July 2015

Mafua ni ugonjwa unaosumbua watu kila mwaka, hasa yanapoanza kutokea mabadiliko ya hali ya hewa, kutoka msimu wa joto kuingia baridi au kutoka msimu wa kiangazi kuingiza masika. Ili kujikinga na ugonjwa wa mafua, ni lazima mwili uwe na kinga ya kutosha. Orodha ya vyakula vifuatavyo vimeelezwa kuwa na uwezo mkubwa wa kuimarisha kinga ya mwili na kupambana na maambukizi mengine kwa kuwa na kiasi kikubwa cha protini na virutubisho vingine. SUPU...
Subscribe to RSS Feed Follow me on Twitter!